Resources » Announcements

Bei Mapya ya Majisafi na Majitaka kuanzia February 1, 2016

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) imeidhinisha marekebisho ya bei za huduma ya majisafi na uondoaji wa majitaka katika Jiji la Arusha kwa mwaka 2015/2016.
Bei hizi mpya zinaanza kutumika kuanzia TAREHE 01 FEBRUARY 2016 na hivyo kufuta bei zilizokuwa zikitumika hapo awali. Bei zilizoidhinishwa na EWURA zimeoneshwa katika jedwali na. 1 na 2 hapo chini.

Jedwali Na. 1: Bei za Majisafi (kwa wateja waliofungiwa dira)

No.

Kundi la wateja

Bei ya Sasa

Bei iliyopendekezwa

Bei iliyoidhinishwa

Kiwango cha matumizi (mita za ujazo

TZS/Mita za ujazo

Kiwango cha matumizi (mita za ujazo

TZS/Mita za ujazo

Kiwango cha matumizi (mita za ujazo

TZS/Mita za ujazo

1

Majumbani

0 - 5

660

0 - 5

855

0 - 5

855

 

 

5 – 15

770

5 – 15

1,000

5 – 15

1,000

 

 

> 15

900

> 15

1,165

> 15

1,165

 

 

 

 

 

 

 

 

2

Taasisi

0 - 5

660

0 - 5

855

0 - 5

855

 

 

5 – 15

720

5 – 15

935

5 – 15

935

 

 

> 15

770

> 15

1,000

> 15

1,000

 

 

 

 

 

 

 

 

3

Biashara

0 - 5

770

0 - 5

1,000

0 - 5

1,000

 

 

5 – 15

940

5 – 15

1,220

5 – 15

1,220

 

 

> 15

1,090

> 15

1,415

> 15

1,415

 

 

 

 

 

 

 

 

4

Viwanda

0 - 5

1,090

0 - 5

1,415

0 - 5

1,415

 

 

5 – 15

1,190

5 – 15

1,545

5 – 15

1,545

 

 

> 15

1,290

> 15

1,675

> 15

1,675

5

Maghati

 

500

 

645

 

645

6

Bottling

 

7,610

 

9,880

 

9,880

Jedwali Na. 2: Bei za Majitaka

Kundi la wateja

Bei ya sasa (TZS kwa Meta ya Ujazo)

Bei iliyoombwa (TZS kwa Meta za Ujazo)

Bei iliyoidhinishwa (TZS kwa Meta ya Ujazo)

Majumbani

170

270

270

Taasisi

270

350

350

Biashara

460

560

560

Viwanda

570

670

670

 

 

 

 

Bei hizi zimeanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 01 February, 2016

Imetolewa na:

MKURUGENZI MTENDAJI

MAMLAKA YA MAJISAFI NA MAJITAKA

JIJI LA ARUSHA